Sr. Violet Kwanungu LSOF YESU NISAIDIE Bwana Yesu, nisaidie. Yesu, Mwokozi wangu, nipe neema ya kukupenda ndani yangu, ili niweze kujifunza kukupenda wewe uishiye ndani ya wengine. Fungua macho yangu, Yesu, ili niweze kukuona ndani ya moyo... 23 Mac 2026
Sr. Violet Kwanungu LSOF Kipaji Chako Ni Ndoto Yako Kila mwanadamu anabeba kitu cha thamani ndani yake. Mungu ameweka kipaji cha kipekee ndani ya kila mmoja wetu, kama mbegu inayosubiri kukua. Kipaji chako si bahati mbaya; ni zawadi uliyopewa kwa upend... 19 Mac 2026
Sr. Violet Kwanungu LSOF FURAHA YA KWELI Furaha ya kweli kwa mwanadamu haiko katika wingi wa vitu alivyonavyo, bali katika kumjua na kumpenda Mungu, ambaye ndiye mwenye vitu vyote. Furaha ya mwanadamu hukamilikakatika Mungu, ambaye ana upend... 17 Mac 2026
Sr. Violet Kwanungu LSOF NINYI NI NURU YA ULIMWENGU " Ataufanya wema wako ung'ae kama mwanga, na uadilifu wako kama jua la adhuhuri." (Zaburi 37:6) Jua linaangaza mchana, na mwezi huangaza usiku. Mwezi hauwezi kuangaza mchana, wala jua kuangaza usiku. ... 13 Mac 2026
Sr. Violet Kwanungu LSOF DAIMA TUTAKUKUMBUKA Baba yetu mpendwa, MwadhamaPolycarp Kardinali Pengo, kwa kweli tutakukumbuka kwa mambo mengi mazuri na ya kupendeza uliyofanya hapa duniani kwa ajili ya Shirikaletu, kwa ajili ya Kanisa, na kwa ajili ... 11 Mac 2026
Sr. Violet Kwanungu LSOF MAISHA NI SAFARI Maisha ni safari na wala hakuna binadamu anayejua mwisho wa safari yake hapa duniani. Maisha ni fumbo kwani hakuna binadamu mwenye uhakika wa maisha yake ya kesho, tuishi vizuri leo kwani kesho siyo y... 6 Mac 2026
Sr. Violet Kwanungu LSOF MAISHA YETU HISTORIA YETU Maisha yetu ya leo ndio historia yetu ya kesho, itakayokumbukwa tukiwa hatupo tena hapa duniani.Tulivyo leo sivyo tulivyokuwa jana, tutakavyokuwa kesho ni matokeo ya jinsi tunavyoishi leo.Tuishi vizur... 5 Mac 2026
Sr. Violet Kwanungu LSOF MAISHA NI ZAWADI MAISHA NI ZAWADI Maisha ni zawadi nzuri aliyotujalia Mwenyezi Mungu ni zawadi ambayo hatuwezi kuipata mahali pengine popote pale. Uhai wa maisha yetu, ni zawadi isiyoweza kununulika kwa ghalama zozote... 3 Mac 2026
Sr. Violet Kwanungu LSOF TUNAWEZA KUWA KILE AMBACHO MUNGU ANATUTAKA TUWE Usiogope mapambano ya kupanda mlima ili kufikia kusudi lako maishani. Washike wengine mikono yao ili sote tuweze kufikia lengo la maisha yetu.Tunaweza kuwa kile ambacho Mungu anataka tuwe katika maish... 20 Feb 2026
Sr. Violet Kwanungu LSOF ASUBUHI NI KIBALI CHAKO KUTOKA KWA MUNGU " Bwana, asubuhi utaisikia sauti yangu; asubuhi nitakupangia dua yangu na kutazamia." (Zaburi 5:3) Asubuhi ni kibali chako cha kuanza siku mpya, Mungu katuzawadia siku mpya ya kuishi tena duniani. Anz... 20 Feb 2026
Sr. Theresia Nyaulingo NURU YA ULIMWENGU (Mathayo 5:16 )Vivyo hivyo nuru yenu na iangaze mbele ya watu, wapate kuyaona matendo yenu mema wamtukuze Baba yenu aliye mbinguni. Aya hii inatukumbusha kwamba nuru tunayoangaza si yetu; inatoka kwa ... 19 Feb 2026
Sr. Violet Kwanungu LSOF JIFUNZE KUNYAMAZA "Nafsi yangu yamngoja Mungu peke yake kwa kimya, wokovuwangu hutoka kwake." (Zaburi 62:1) Jifunze kuwa kimya katika maisha yako; kwa kujifunza kuwa kimya utaepuka mambo mengi maishani mwako, na moyo w... 11 Feb 2026