Sr. Violet Kwanungu LSOF YESU NIJALIE MOYO WA SALA "Ikawa alipokuwa mahali fulani akiomba, alipokwisha, mmoja katika wanafunzi wake alimwambia, Bwana, tufundishe sisi kusali, kama vile Yohane alivyowafundisha wanafunzi wake." (Luka 11:1) Ee Yesu, nija... 6 Feb 2026
Sr. Violet Kwanungu LSOF MOYO WA YESU USIOCHOKA KUTUPENDA Mwanangu, huu ni moyo wangu unaokupenda, hakuna moyo mwingine uliojaa mapendo kama moyo wangu. Usiache kuutafakari moyo wangu mtakatifu. Hakuna moyo mwingine utakaokupenda, kama moyo wangu unavyokupen... 3 Feb 2026
Sr. Violet Kwanungu LSOF ROHO NDIYO ITIAYO UZIMA ROHO NDIYO ITIAYO UZIMA “Roho ndiyo itiayo uzima, mwili haufai kitu; maneno hayo niliyokuambia ni roho, tena ni uzima.” (Yohane 6:63) Hatuwezi kupata asali ikiwa hatuna mizinga ya nyuki, na wala hutuw... 22 Jan 2026
Sr. Violet Kwanungu LSOF ALAMA ZA NYAYO ZA MIGUU YAKO ALAMA ZA NYAYO ZA MIGUU YAKO Alama za nyayo za migugu yako hazifanani na alama za nyayo za miguu ya mtu mwingine yeyote yule. Kila unakoelekea alama za nyayo zako, hukufuata nyuma yako na wala huwezi ... 20 Jan 2026
Sr. Violet Kwanungu LSOF USIOGOPE MAANA NIMEKUKOMBOA Usiogope kuendelea na safari ya maisha yako, hata kama njia yako ina giza na wala huoni mwanga mbele yako. Usigogope kuendelea na safari ya maisha yako, hata kama unapita mbuganikwenye wanyama wakali.... 20 Jan 2026