Sr. Violet Kwanungu LSOF NAKUSHUKURU MUNGU WANGU Ee Munguwangu, nakushukuru kwa zawadi ya uhai na kwa kuniumba katika upendo wako. Nakushukuru kwa macho uliyonijalia ambayo kupitia hayo ninaweza kuona uzuri na changamoto za dunia inayonizunguka. Nak... 13 Mei 2026 Blogu yetu
Sr. Violet Kwanungu LSOF MUNGU NI MSAADA WETU Kuna nyakati katika maisha tunajisikia hatuna msaada kabisa, wakati matatizo yanatuzunguka kama jiwe zito tusiloweza kuliondoa. Katika nyakati kama hizo, ni rahisi kufikiri kwamba hakuna msaada unaoku... 21 Apr 2026 Blogu yetu
Sr. Violet Kwanungu LSOF SALA KWA MTAKATIFU MIKAELI MALAIKA MKUU Mtakatifu Mikaeli Malaika Mkuu, utulinde katika vita, uwe kinga yetu katika maovu na maoteo ya shetani. Mungu amtiishee tunaomba sana, nawe Mkuu wa Majeshi ya Mbinguni kwa nguvu ya Mungu uwaangushe mo... 17 Apr 2026 Blogu yetu
Sr. Violet Kwanungu LSOF FIKIRI ZAIDI " Mwanangu, uchume maarifa tangu ujana hata kuwa mwenye mvi, nawe utapata hekima." (Yoshua Bin Sira 6:18) Fanya kile ambacho wengine hawafikirii kufanya : Kila siku fikiria jambo zuri la kufanya litak... 16 Apr 2026 Blogu yetu
Sr. Violet Kwanungu LSOF YESU NISAIDIE Bwana Yesu, nisaidie. Yesu, Mwokozi wangu, nipe neema ya kukupenda ndani yangu, ili niweze kujifunza kukupenda wewe uishiye ndani ya wengine. Fungua macho yangu, Yesu, ili niweze kukuona ndani ya moyo... 23 Mac 2026 Blogu yetu
Sr. Violet Kwanungu LSOF Kipaji Chako Ni Ndoto Yako Kila mwanadamu anabeba kitu cha thamani ndani yake. Mungu ameweka kipaji cha kipekee ndani ya kila mmoja wetu, kama mbegu inayosubiri kukua. Kipaji chako si bahati mbaya; ni zawadi uliyopewa kwa upend... 19 Mac 2026 Blogu yetu
Sr. Violet Kwanungu LSOF FURAHA YA KWELI Furaha ya kweli kwa mwanadamu haiko katika wingi wa vitu alivyonavyo, bali katika kumjua na kumpenda Mungu, ambaye ndiye mwenye vitu vyote. Furaha ya mwanadamu hukamilikakatika Mungu, ambaye ana upend... 17 Mac 2026 Blogu yetu
Sr. Violet Kwanungu LSOF NINYI NI NURU YA ULIMWENGU " Ataufanya wema wako ung'ae kama mwanga, na uadilifu wako kama jua la adhuhuri." (Zaburi 37:6) Jua linaangaza mchana, na mwezi huangaza usiku. Mwezi hauwezi kuangaza mchana, wala jua kuangaza usiku. ... 13 Mac 2026 Blogu yetu
Sr. Violet Kwanungu LSOF DAIMA TUTAKUKUMBUKA Baba yetu mpendwa, MwadhamaPolycarp Kardinali Pengo, kwa kweli tutakukumbuka kwa mambo mengi mazuri na ya kupendeza uliyofanya hapa duniani kwa ajili ya Shirikaletu, kwa ajili ya Kanisa, na kwa ajili ... 11 Mac 2026 Blogu yetu
Sr. Violet Kwanungu LSOF MAISHA NI SAFARI Maisha ni safari na wala hakuna binadamu anayejua mwisho wa safari yake hapa duniani. Maisha ni fumbo kwani hakuna binadamu mwenye uhakika wa maisha yake ya kesho, tuishi vizuri leo kwani kesho siyo y... 6 Mac 2026 Blogu yetu
Sr. Violet Kwanungu LSOF MAISHA YETU HISTORIA YETU Maisha yetu ya leo ndio historia yetu ya kesho, itakayokumbukwa tukiwa hatupo tena hapa duniani.Tulivyo leo sivyo tulivyokuwa jana, tutakavyokuwa kesho ni matokeo ya jinsi tunavyoishi leo.Tuishi vizur... 5 Mac 2026 Blogu yetu
Sr. Violet Kwanungu LSOF MAISHA NI ZAWADI MAISHA NI ZAWADI Maisha ni zawadi nzuri aliyotujalia Mwenyezi Mungu ni zawadi ambayo hatuwezi kuipata mahali pengine popote pale. Uhai wa maisha yetu, ni zawadi isiyoweza kununulika kwa ghalama zozote... 3 Mac 2026 Blogu yetu