Sr. Violet Kwanungu LSOF TUNAWEZA KUWA KILE AMBACHO MUNGU ANATUTAKA TUWE Usiogope mapambano ya kupanda mlima ili kufikia kusudi lako maishani. Washike wengine mikono yao ili sote tuweze kufikia lengo la maisha yetu.Tunaweza kuwa kile ambacho Mungu anataka tuwe katika maish... 20 Feb 2026 Blogu yetu
Sr. Violet Kwanungu LSOF ASUBUHI NI KIBALI CHAKO KUTOKA KWA MUNGU " Bwana, asubuhi utaisikia sauti yangu; asubuhi nitakupangia dua yangu na kutazamia." (Zaburi 5:3) Asubuhi ni kibali chako cha kuanza siku mpya, Mungu katuzawadia siku mpya ya kuishi tena duniani. Anz... 20 Feb 2026 Blogu yetu
Sr. Theresia Nyaulingo NURU YA ULIMWENGU (Mathayo 5:16 )Vivyo hivyo nuru yenu na iangaze mbele ya watu, wapate kuyaona matendo yenu mema wamtukuze Baba yenu aliye mbinguni. Aya hii inatukumbusha kwamba nuru tunayoangaza si yetu; inatoka kwa ... 19 Feb 2026 Blogu yetu
Sr. Violet Kwanungu LSOF JIFUNZE KUNYAMAZA "Nafsi yangu yamngoja Mungu peke yake kwa kimya, wokovuwangu hutoka kwake." (Zaburi 62:1) Jifunze kuwa kimya katika maisha yako; kwa kujifunza kuwa kimya utaepuka mambo mengi maishani mwako, na moyo w... 11 Feb 2026 Blogu yetu
Sr. Violet Kwanungu LSOF YESU NIJALIE MOYO WA SALA "Ikawa alipokuwa mahali fulani akiomba, alipokwisha, mmoja katika wanafunzi wake alimwambia, Bwana, tufundishe sisi kusali, kama vile Yohane alivyowafundisha wanafunzi wake." (Luka 11:1) Ee Yesu, nija... 6 Feb 2026 Blogu yetu
Sr. Violet Kwanungu LSOF MOYO WA YESU USIOCHOKA KUTUPENDA Mwanangu, huu ni moyo wangu unaokupenda, hakuna moyo mwingine uliojaa mapendo kama moyo wangu. Usiache kuutafakari moyo wangu mtakatifu. Hakuna moyo mwingine utakaokupenda, kama moyo wangu unavyokupen... 3 Feb 2026 Blogu yetu
Sr. Violet Kwanungu LSOF ROHO NDIYO ITIAYO UZIMA ROHO NDIYO ITIAYO UZIMA “Roho ndiyo itiayo uzima, mwili haufai kitu; maneno hayo niliyokuambia ni roho, tena ni uzima.” (Yohane 6:63) Hatuwezi kupata asali ikiwa hatuna mizinga ya nyuki, na wala hutuw... 22 Jan 2026 Blogu yetu
Sr. Violet Kwanungu LSOF ALAMA ZA NYAYO ZA MIGUU YAKO ALAMA ZA NYAYO ZA MIGUU YAKO Alama za nyayo za migugu yako hazifanani na alama za nyayo za miguu ya mtu mwingine yeyote yule. Kila unakoelekea alama za nyayo zako, hukufuata nyuma yako na wala huwezi ... 20 Jan 2026 Blogu yetu
Sr. Violet Kwanungu LSOF USIOGOPE MAANA NIMEKUKOMBOA Usiogope kuendelea na safari ya maisha yako, hata kama njia yako ina giza na wala huoni mwanga mbele yako. Usigogope kuendelea na safari ya maisha yako, hata kama unapita mbuganikwenye wanyama wakali.... 20 Jan 2026 Blogu yetu