Skip to Content

JIFUNZE KUNYAMAZA

11 Februari 2026 na
JIFUNZE KUNYAMAZA
Sr. Violet Kwanungu LSOF

"Nafsi yangu yamngoja Mungu peke yake kwa kimya, wokovu wangu hutoka kwake." (Zaburi 62:1) Jifunze kuwa kimya katika maisha yako; kwa kujifunza kuwa kimya utaepuka mambo mengi maishani mwako, na moyo wako utaendelea kuwa na amani.
Jifunze kuwa kimya ili uweze kutoa nafasi kwa akili yako kufikiri zaidi.
Jifunze kuwa kimya ili upate muda wa kusikiliza moyo wako.
Jifunze kuwa kimya ili uweze kusikiliza mawazo yako.
Jifunze kuwa kimya ili uweze kuleta utulivu kwa moyo wako.
Jifunze kuwa kimya na kuzungumza na nafsi yako ya ndani.
Jifunze kuwa kimya ili kugundua udhaifu wako.
Jifunze kuwa kimya ili kugundua nguvu zako, zungumza kidogo, fikiria zaidi.

katika Blogu yetu
JIFUNZE KUNYAMAZA
Sr. Violet Kwanungu LSOF 11 Februari 2026
Shiriki posti hii
Lebo
Maktaba